MDI
Magu Development Initiative (MDI) ni Asasi ya Kiraia yenye lengo
la jumla la kuwaweka pamoja wananchi wote wa Wilaya ya
Magu iliyoko Mkoa wa Mwanza Tanzania kwa dhumuni la Kuelimisha na kuhamasisha
wananchi kuendeleza utamaduni na tabia ya kufanya kazi kwa ushirikikiano
unaojenga uwezo wa kujitegemea na kuleta mabadiliko ya maisha bora kwa watu
wote katika familia na jamii kwa ujumla ili kujenga amani, umoja, haki, udugu,
demokrasia, elimu, uchumi, utawala bora, na mazingira nadhifu katika jamii
No comments:
Post a Comment