UTANGULIZI
Umoja
wa Wanamagu ni umoja wa Hiari, usio wa Kiserikali, usio wa Kisiasa wala wa kutengeza
faida, wenye malengo ya jumla ya kuwaweka pamoja wananchi wote wa Wilaya ya
Magu iliyoko Mkoa wa Mwanza Tanzania kwa dhumuni la Kuelemisha na Kuhamasisha wananchi
kuendeleza Utamaduni na Tabia ya kufanya Kazi kwa ushirikikiano unaojenga uwezo
wa kujitegemea na kuleta mabadiliko ya maisha bora kwa watu wote katika familia
na jamii kwa ujumla ili kujenga Amani,Umoja, Haki, Udugu, Demokrasia, Elimu, Uchumi,
Utawala Bora, na Mazingira Nadhifu katika Jamii.
Suala
la michango ya kila mwisho wa mwezi linatokana makubaliano katika jukwaa hili
kuwa michango hii itakuwa inarudi kwa wanachama kwa njia nyingine na kiasi
kilichobaki kinatunzwa katika akauunti ya umoja kwa ajili ya matumizi mengine
kadiri itakavyoonekana sawa kwa mujibu wa Katiba yetu ya MDI ya mwaka 2009.
Nitumie
nafasi hii pia kuwakumbusha kuendelea kushiriki katika mijadala ya uchangiaji
wa mawazo katika jukwaa hili kwa kuwa
mpaka sasa zawadi ya mwisho wa mwezi ipo tayari na inasubiri mshindi tu.
WALIOLIPA MICHANGO YAO MAPAKA
SASA
Kwa niaba ya Mwenyekiti wa Jukwaa hili Bw. Juma
William naomba kutoa taarifa kuwa, mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya
michango ya mwisho wa mwezi katika wiki ya pili ya mwezi Januari kutoka kwa
watu wafuatao;
1.
Mussa Budodi-------------------> Tshs.
2,000/=
2.
Frank H Mganga---------------->Tshs.
2,000/=
3.
Abel Daud Nitwa---------------->Tshs.
2,000/=
4.
Machibya Anthony Matulanya------->5,000/=
5.
Martin
Mambosasa---------------------->2,000/=
6.
Juma William
Yabeja------------------>2,000=
7.
Simon Kahindi---------------------------à2,000/=
8.
Obeid Mashauri-------------------------à2,000/=
9.
King Sele----------------------------------à2,000/=
Na wengine bado wapo katika hatua za ahadi kutekeleza hilo. namba yetu ya M-PESA ni 0753544084 ambayo imesajiliwa kwa jina la Mwenyekiti JUMA YABEJA.
Nawasilisha.
HITIMISHO
Nawatakia Utekelezaji Mwema.
Maendeleo ya Magu..............................Pamoja Tunaweza
No comments:
Post a Comment