Halmashauri
ya Wilaya ya Magu ni moja ya Halmashauri 8 za Mkoa wa Mwanza. Halmashauri hii
ina eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 7,080.
Halmashauri
ya Wilaya ya Magu ilianzishwa rasmi kwa kuzingatia Sheria ya kuanzishwa upya
serikali za mitaa mwaka 1984. Halmashauri hii kama zilivyo Halmashauri zingine
ilianzishwa kama chombo cha kubaini na kuanzisha mikakati / fikra sahihi na
shughuli endelevu za kuboresha hali ya maisha ya wananchi walioko katika eneo
la Halmashauri hii.
No comments:
Post a Comment