Sunday, January 13, 2013

TAARIFA



TAARIFA KWA WANAMAGU WA JUKWAA HILI LA TWIKOMIGE.

Kwa niaba ya Mwenyekiti wa Jukwaa hili Bw. Juma William naomba kutoa taarifa kuwa, mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya michango ya mwisho wa mwezi katika wiki ya kwanza ya mwezi Januari kutoka kwa watu wafuatao;

1. Mussa Budodi-----------------> Tshs. 2,000/=
2. Frank H Mganga--------------->Tshs. 2,000/=
3. Abel Daud Nitwa--------------->Tshs. 2,000/=
4. Machibya Anthony Matulanya------->5,000/=
5. Martin Mambosasa-------------------->2,000/=
6. Juma William Yabeja------------------>2,000=

Na wengine bado wapo katika hatua za ahadi kutekeleza hilo. namba yetu ya M-PESA ni 0753544084 ambayo imesajiliwa kwa jina la Mwenyekiti JUMA YABEJA.

N.B.
KWANZA, Kama ambavyo mmekwisha kutangaziwa na viongozi wa Jukwaa hili kuwa, sehemu ya pesa hizi tunazochanga mwisho wa mwezi zitarudi kwa wana umoja kupitia shindano letu la kuweka hapa hoja zinazogusa jamii kimaendeleo na itatolewa kama vocha kwa mtandao utakaopenda ili kukuwezesha kuendelea kuwa ONLINE zaidi kwasababu tunayahitaji na kuyathamini mawazo na michango yako. Sehemu nyingine ya pesa hizi zitawekwa kwenye akaunti yetu No. 01J209803000 iliyopo CRDB Tawi la Azikiwe Premier.

PILI, ni kuwa sisi viongozi tumeonelea tusishiriki shindano hili kwasababu tunapost mara nyingi sana katika ukurasa huu na mambo mengine yakiwa ya kiofisi zaidi. kwa hiyo kazi imebaki kwenu wana umoja kushiriki zaidi ili kupata hiyo zawadi ya mwisho wa mwezi ambayo ni vocha ya 5,000/=.

Nawasilisha.
 .

Nawatakia Utekelezaji Mwema.

Maendeleo ya Magu..............................Pamoja Tunaweza

No comments:

Post a Comment