MDI

Magu Development Initiative (MDI) ni Asasi ya Kiraia yenye lengo la jumla la  kuwaweka pamoja wananchi wote wa Wilaya ya Magu iliyoko Mkoa wa Mwanza Tanzania kwa dhumuni la Kuelimisha na kuhamasisha wananchi kuendeleza utamaduni na tabia ya kufanya kazi kwa ushirikikiano unaojenga uwezo wa kujitegemea na kuleta mabadiliko ya maisha bora kwa watu wote katika familia na jamii kwa ujumla ili kujenga amani, umoja, haki, udugu, demokrasia, elimu, uchumi, utawala bora, na mazingira nadhifu katika jamii

No comments:

Post a Comment